sw_tn/luk/10/22.md

24 lines
629 B
Markdown

# Kila kitu kimekabithiwa kwangu kutoka kwa Baba yangu
AT: " Baba yangu amekabidhi kila kitu kwangu".
# Baba... Mwana.
Hivi ni vichwa vikuu vya muhimu vinavyoelezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu.
# Mwana
Yesu alikuwa akijizungumzia yeye katika nafasi ya tatu.
# afahamuye Mwana ni nani
Neno ambalo limetafasiriwa kama "Afahamuye" linamaanisha kujua kutokana na kumwelewa mtu. Mungu Baba anamjua Yesu kwa namna hiyo.
# Ila Baba
Hii inamaanisha ni Baba peke yake anajua Mwana ni nani.
# na yeyote ambaye mwana anatamani kujifunua kwake
AT: "na watu watajua Baba ni nani endapo Mwana atataka kuwadhihirishia Baba kwao".