sw_tn/luk/10/22.md

629 B

Kila kitu kimekabithiwa kwangu kutoka kwa Baba yangu

AT: " Baba yangu amekabidhi kila kitu kwangu".

Baba... Mwana.

Hivi ni vichwa vikuu vya muhimu vinavyoelezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu.

Mwana

Yesu alikuwa akijizungumzia yeye katika nafasi ya tatu.

afahamuye Mwana ni nani

Neno ambalo limetafasiriwa kama "Afahamuye" linamaanisha kujua kutokana na kumwelewa mtu. Mungu Baba anamjua Yesu kwa namna hiyo.

Ila Baba

Hii inamaanisha ni Baba peke yake anajua Mwana ni nani.

na yeyote ambaye mwana anatamani kujifunua kwake

AT: "na watu watajua Baba ni nani endapo Mwana atataka kuwadhihirishia Baba kwao".