sw_tn/luk/10/16.md

402 B

Atakaye wasikiliza ninyi anisikiliza mimi

AT: "Mtu akiwasikiliza, ni kama ananisikiliza mimi"

Yeyote awakataapo anikataa mim

"Atakaye wakataa ninyi, amenikataa mimi".

Yeyote anikataaye mimi amtakaa aliyenituma"

Atakaye nikataa mimi, itakuwa kama anamkataa yeye aliyenituma".

Aliyenituma mimi.

Hii inarejea Mungu Baba aliemuteuwa Yesu kwa ajili ya kazi Maalumu. AT: " Mungu, alienituma".