sw_tn/luk/10/16.md

16 lines
402 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Atakaye wasikiliza ninyi anisikiliza mimi
AT: "Mtu akiwasikiliza, ni kama ananisikiliza mimi"
# Yeyote awakataapo anikataa mim
"Atakaye wakataa ninyi, amenikataa mimi".
# Yeyote anikataaye mimi amtakaa aliyenituma"
Atakaye nikataa mimi, itakuwa kama anamkataa yeye aliyenituma".
# Aliyenituma mimi.
Hii inarejea Mungu Baba aliemuteuwa Yesu kwa ajili ya kazi Maalumu. AT: " Mungu, alienituma".