# Atakaye wasikiliza ninyi anisikiliza mimi AT: "Mtu akiwasikiliza, ni kama ananisikiliza mimi" # Yeyote awakataapo anikataa mim "Atakaye wakataa ninyi, amenikataa mimi". # Yeyote anikataaye mimi amtakaa aliyenituma" Atakaye nikataa mimi, itakuwa kama anamkataa yeye aliyenituma". # Aliyenituma mimi. Hii inarejea Mungu Baba aliemuteuwa Yesu kwa ajili ya kazi Maalumu. AT: " Mungu, alienituma".