sw_tn/luk/10/03.md

737 B

enendeni katika njia zenu

"enendeni kwenye majiji" au "enendeni kwa watu"

ninawatuma nje kama kondoo katikati ya mbwa mwitu

Hii inamaana ya kuwa kuna watu wangewadhuru wale ambao Yesu aliwatuma. Majina ya wanyama wengine yangeweza kuwakilishwa. AT;"Nitakapowatuma huko nje watu watawadhuru kama ambavyo mbwa mwitu huwaingilia kondoo"

Mbwa mwitu

Hii imetafasiriwa na maana halisi ya "mbwa wa mwituni" au "mbwa wakali" au jina la mnyama wa pekee kama mbwa ambaye watu huwa wanamfaham.

Musibebe mfuko/mikoba yenye pesa.

"Musichukue Mikoba yenye pesa ndani yake"

Msimusalimie yeyote muwapo njiani.

Yesu alikuwa anasisitiza ya kuwa waende kwa haraka huko mjini na wafanye hii kazi. Hakuwambia wawe wakorofi au watu wabaya.