# enendeni katika njia zenu "enendeni kwenye majiji" au "enendeni kwa watu" # ninawatuma nje kama kondoo katikati ya mbwa mwitu Hii inamaana ya kuwa kuna watu wangewadhuru wale ambao Yesu aliwatuma. Majina ya wanyama wengine yangeweza kuwakilishwa. AT;"Nitakapowatuma huko nje watu watawadhuru kama ambavyo mbwa mwitu huwaingilia kondoo" # Mbwa mwitu Hii imetafasiriwa na maana halisi ya "mbwa wa mwituni" au "mbwa wakali" au jina la mnyama wa pekee kama mbwa ambaye watu huwa wanamfaham. # Musibebe mfuko/mikoba yenye pesa. "Musichukue Mikoba yenye pesa ndani yake" # Msimusalimie yeyote muwapo njiani. Yesu alikuwa anasisitiza ya kuwa waende kwa haraka huko mjini na wafanye hii kazi. Hakuwambia wawe wakorofi au watu wabaya.