sw_tn/luk/10/03.md

20 lines
737 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# enendeni katika njia zenu
"enendeni kwenye majiji" au "enendeni kwa watu"
# ninawatuma nje kama kondoo katikati ya mbwa mwitu
Hii inamaana ya kuwa kuna watu wangewadhuru wale ambao Yesu aliwatuma. Majina ya wanyama wengine yangeweza kuwakilishwa. AT;"Nitakapowatuma huko nje watu watawadhuru kama ambavyo mbwa mwitu huwaingilia kondoo"
# Mbwa mwitu
Hii imetafasiriwa na maana halisi ya "mbwa wa mwituni" au "mbwa wakali" au jina la mnyama wa pekee kama mbwa ambaye watu huwa wanamfaham.
# Musibebe mfuko/mikoba yenye pesa.
"Musichukue Mikoba yenye pesa ndani yake"
# Msimusalimie yeyote muwapo njiani.
Yesu alikuwa anasisitiza ya kuwa waende kwa haraka huko mjini na wafanye hii kazi. Hakuwambia wawe wakorofi au watu wabaya.