sw_tn/luk/10/01.md

662 B

Taarifa kwa ujumla

Yesu anawatuma zaidi ya watu sabini mbele yake. Hao sabini wanarudi na furaha , na Yesu anawajibu kwa kumuabudu baba wa mbinguni.

sasa

Neno hili limetumika kuashiria tukio jipya katika hadithi.

sabini

"70." matoleo mengine yanasema "sabini na mbili" au "72." utatakiwa kuweka maezezo yanayosema ivyo.

Aliwatuma huko, wawili wawili

"Aliwatuma huko katika makundi ya wawili wawili" au "Aliwatuma huko wawili wawili katika kila kundi"

Akawaambia

Hii iikuwa kabla hawajaondoka. AT: "Hiki ndo alichowaambia" au "kabla hajaondok aliwaambia."

Mavuno ni mengi, lakini wafanyakazi ni wachache

"kulikuwa kuna mazao mengi, lakini