# Taarifa kwa ujumla Yesu anawatuma zaidi ya watu sabini mbele yake. Hao sabini wanarudi na furaha , na Yesu anawajibu kwa kumuabudu baba wa mbinguni. # sasa Neno hili limetumika kuashiria tukio jipya katika hadithi. # sabini "70." matoleo mengine yanasema "sabini na mbili" au "72." utatakiwa kuweka maezezo yanayosema ivyo. # Aliwatuma huko, wawili wawili "Aliwatuma huko katika makundi ya wawili wawili" au "Aliwatuma huko wawili wawili katika kila kundi" # Akawaambia Hii iikuwa kabla hawajaondoka. AT: "Hiki ndo alichowaambia" au "kabla hajaondok aliwaambia." # Mavuno ni mengi, lakini wafanyakazi ni wachache "kulikuwa kuna mazao mengi, lakini