sw_tn/luk/09/59.md

449 B

Sentensi Unganishi

Yesu anaendelea kuongea na wanafunzi wake akiwa pembezoni mwa barabara.

Mnifuate mimi.

Hii ina maanisha kuwa mfuasi wa Yesu na kwenda pamoja naye.

Mniruhusu kwanza niondoke

"Kabla sijafanya hivyo, mniache niende."

Waache wafu wawazike wafu wa kwao

Kwa sababu watu waliokwisha kufa hawawezi kumzika mtu yeyote, Maana inayokusudiwa hapa ni ya kwamba watu walio wafu katika roho wawazike watu walio wafu katika mwili.