sw_tn/luk/09/59.md

16 lines
449 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Yesu anaendelea kuongea na wanafunzi wake akiwa pembezoni mwa barabara.
# Mnifuate mimi.
Hii ina maanisha kuwa mfuasi wa Yesu na kwenda pamoja naye.
# Mniruhusu kwanza niondoke
"Kabla sijafanya hivyo, mniache niende."
# Waache wafu wawazike wafu wa kwao
Kwa sababu watu waliokwisha kufa hawawezi kumzika mtu yeyote, Maana inayokusudiwa hapa ni ya kwamba watu walio wafu katika roho wawazike watu walio wafu katika mwili.