sw_tn/luk/09/57.md

717 B

mtu mmoja

Huyu hakuwa moja ya wanafunzi

Mbweha wanamashimo

Yesu anajibu kwa mithali ili kufundisha watu kuhusu kuwa mwanafunzi wa Yesu. Yesu anajibu kwamba kama mtu atahitaji kumfuata, kwamba mtu huyo anaweza asiwe na nyumba. AT: "Mbeha wana mashimo...wala sehemu ya kulaza kichwa. Hivyo usitegemee kama utakuwa na nyumba"

Mbweha

Hawa ni wanyama wa nchi sawa na mbwa. Wanalala katika mapango au shimo katika arthi.

ndege wa angani

"ndege wanaoruka angani"

mwana wa Adamu

"Yesu anaongea kuhusu yeye mwenyewe katika nafsi ya tatu"

hana pakulaza kichwa chake

"sina sehemu ya kulaza kichwa changu" or "wala sehemu ya kulala." Yesu anakuza ili kujenga hoja kwambaalikuwa hakalibishwi popote kuishi.