# mtu mmoja Huyu hakuwa moja ya wanafunzi # Mbweha wanamashimo Yesu anajibu kwa mithali ili kufundisha watu kuhusu kuwa mwanafunzi wa Yesu. Yesu anajibu kwamba kama mtu atahitaji kumfuata, kwamba mtu huyo anaweza asiwe na nyumba. AT: "Mbeha wana mashimo...wala sehemu ya kulaza kichwa. Hivyo usitegemee kama utakuwa na nyumba" # Mbweha Hawa ni wanyama wa nchi sawa na mbwa. Wanalala katika mapango au shimo katika arthi. # ndege wa angani "ndege wanaoruka angani" # mwana wa Adamu "Yesu anaongea kuhusu yeye mwenyewe katika nafsi ya tatu" # hana pakulaza kichwa chake "sina sehemu ya kulaza kichwa changu" or "wala sehemu ya kulala." Yesu anakuza ili kujenga hoja kwambaalikuwa hakalibishwi popote kuishi.