sw_tn/luk/09/54.md

397 B

liona hili

"aliona kwamba wasamaria hawakumpokea Yesu"

tuamuru moto ushuke chini kutoka mbinguni uwateketeze

Yakobo na Yohana walipendekeza njia hii ya hukumu kwa sababu walijua kwamba hivi ndivyo manabii kama Elia walivyo hukumu watu waliomkataa Mungu.

aliwageukia akawakemea

"Yesu aligeuka na kuwakemea Yakobo na Yohana." Yesu hakuwahukumu Wasamaria , kama wanafunzi walivyo tegemea.