# liona hili "aliona kwamba wasamaria hawakumpokea Yesu" # tuamuru moto ushuke chini kutoka mbinguni uwateketeze Yakobo na Yohana walipendekeza njia hii ya hukumu kwa sababu walijua kwamba hivi ndivyo manabii kama Elia walivyo hukumu watu waliomkataa Mungu. # aliwageukia akawakemea "Yesu aligeuka na kuwakemea Yakobo na Yohana." Yesu hakuwahukumu Wasamaria , kama wanafunzi walivyo tegemea.