sw_tn/luk/09/54.md

12 lines
397 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# liona hili
"aliona kwamba wasamaria hawakumpokea Yesu"
# tuamuru moto ushuke chini kutoka mbinguni uwateketeze
Yakobo na Yohana walipendekeza njia hii ya hukumu kwa sababu walijua kwamba hivi ndivyo manabii kama Elia walivyo hukumu watu waliomkataa Mungu.
# aliwageukia akawakemea
"Yesu aligeuka na kuwakemea Yakobo na Yohana." Yesu hakuwahukumu Wasamaria , kama wanafunzi walivyo tegemea.