sw_tn/luk/09/46.md

24 lines
387 B
Markdown

# Taarifa kamili
Mzozo kuhusu madarsks ukanza kati ya wanafunzi.
# kati yao
"kati ya wanafunzi"
# wakihojiana mioyoni mwao
AT: "kufikiria juu ya mtu mmoja mmoja" au "kufikilia kimoyoni"
# jina langu
Hii inawakilisha mtu anaefanya jambo au an kama muwakirishi wa Yesu. AT: "kwa sababu yangu
# anampokea pia
AT: "ni kama amenipokea mimi"
# aliyenituma mimi
"Mungu, aliyenituma"