# Taarifa kamili Mzozo kuhusu madarsks ukanza kati ya wanafunzi. # kati yao "kati ya wanafunzi" # wakihojiana mioyoni mwao AT: "kufikiria juu ya mtu mmoja mmoja" au "kufikilia kimoyoni" # jina langu Hii inawakilisha mtu anaefanya jambo au an kama muwakirishi wa Yesu. AT: "kwa sababu yangu # anampokea pia AT: "ni kama amenipokea mimi" # aliyenituma mimi "Mungu, aliyenituma"