sw_tn/luk/09/46.md

387 B

Taarifa kamili

Mzozo kuhusu madarsks ukanza kati ya wanafunzi.

kati yao

"kati ya wanafunzi"

wakihojiana mioyoni mwao

AT: "kufikiria juu ya mtu mmoja mmoja" au "kufikilia kimoyoni"

jina langu

Hii inawakilisha mtu anaefanya jambo au an kama muwakirishi wa Yesu. AT: "kwa sababu yangu

anampokea pia

AT: "ni kama amenipokea mimi"

aliyenituma mimi

"Mungu, aliyenituma"