sw_tn/luk/09/41.md

490 B

Yesu akajibu akasema

"kwenye jibu Yesu akasema"

Enyi kizazi kisicho amini na wachafu

Hii ilielezwa kwenye umati uliokuwa limekusanyika, na sio kwa wanafunzi.

mpaka lini nitazidi kuwabeba

Hapa "nita" ni wingi. Yesu anatumia swali kukemea umati. AT: "nimefanya merngi na bado hamuamini!"

Mlete mwanao hapa

Hapa "wako" ni umoja. Yesu snaongea moja kwa moja na baba wa anaemshughulikia.

aliokuwa anakuja

"anakuja" au "yuko anakuja"

aliikemea

"alizungumza kwa ukali kwa"