# Yesu akajibu akasema "kwenye jibu Yesu akasema" # Enyi kizazi kisicho amini na wachafu Hii ilielezwa kwenye umati uliokuwa limekusanyika, na sio kwa wanafunzi. # mpaka lini nitazidi kuwabeba Hapa "nita" ni wingi. Yesu anatumia swali kukemea umati. AT: "nimefanya merngi na bado hamuamini!" # Mlete mwanao hapa Hapa "wako" ni umoja. Yesu snaongea moja kwa moja na baba wa anaemshughulikia. # aliokuwa anakuja "anakuja" au "yuko anakuja" # aliikemea "alizungumza kwa ukali kwa"