sw_tn/luk/09/41.md

24 lines
490 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yesu akajibu akasema
"kwenye jibu Yesu akasema"
# Enyi kizazi kisicho amini na wachafu
Hii ilielezwa kwenye umati uliokuwa limekusanyika, na sio kwa wanafunzi.
# mpaka lini nitazidi kuwabeba
Hapa "nita" ni wingi. Yesu anatumia swali kukemea umati. AT: "nimefanya merngi na bado hamuamini!"
# Mlete mwanao hapa
Hapa "wako" ni umoja. Yesu snaongea moja kwa moja na baba wa anaemshughulikia.
# aliokuwa anakuja
"anakuja" au "yuko anakuja"
# aliikemea
"alizungumza kwa ukali kwa"