sw_tn/luk/09/34.md

891 B

Alipokuwa akisema vitu hivi

"Wakati Petro alikuwa akisema viotu hivi"

waliogopa

Hawa wanafunzi wazima hawakuogopa mawingu. Msitari unaashiria woga usio wa kawaida ulitokea juu yao kupitia mawing. AT: "walishitushwa"

walivyokuwa wamezungukwa na wingu

AT: "kama mawingu yalivyo wazunguka"

Sauti ikatoka winguni, ikisema

AT: "Mungu akaongea nao kupitia mawinguni akisema"

mwanangu uliyechaguliwa

Neno "kuchaguliwa" linatoa taarifa kuhusu mtoto wa Mungu. Haisemi kuwa Mungu alikuwa na mtoto zaidi ya mmoja. AT: "mwanangu niliuyekuchagua" (UDB) au "mwanangu,uliyechaguliwa"

walikaa kimya, na katika siku hizo... vitu walivyoona

Hii ni taarifa inayosema kilichotokea baada ya hadithi kama matokeo ya hadithi yenyewe.

siku hizo

Hizi zinaweza kuwakirisha siku ambazo mpaka Yesu anachukuliwa mawinguni baada ya ufufuo au yaweza kuwa baada ya siku ambazo Yesu alitoa kauli.