sw_tn/luk/09/34.md

28 lines
891 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alipokuwa akisema vitu hivi
"Wakati Petro alikuwa akisema viotu hivi"
# waliogopa
Hawa wanafunzi wazima hawakuogopa mawingu. Msitari unaashiria woga usio wa kawaida ulitokea juu yao kupitia mawing. AT: "walishitushwa"
# walivyokuwa wamezungukwa na wingu
AT: "kama mawingu yalivyo wazunguka"
# Sauti ikatoka winguni, ikisema
AT: "Mungu akaongea nao kupitia mawinguni akisema"
# mwanangu uliyechaguliwa
Neno "kuchaguliwa" linatoa taarifa kuhusu mtoto wa Mungu. Haisemi kuwa Mungu alikuwa na mtoto zaidi ya mmoja. AT: "mwanangu niliuyekuchagua" (UDB) au "mwanangu,uliyechaguliwa"
# walikaa kimya, na katika siku hizo... vitu walivyoona
Hii ni taarifa inayosema kilichotokea baada ya hadithi kama matokeo ya hadithi yenyewe.
# siku hizo
Hizi zinaweza kuwakirisha siku ambazo mpaka Yesu anachukuliwa mawinguni baada ya ufufuo au yaweza kuwa baada ya siku ambazo Yesu alitoa kauli.