# Alipokuwa akisema vitu hivi "Wakati Petro alikuwa akisema viotu hivi" # waliogopa Hawa wanafunzi wazima hawakuogopa mawingu. Msitari unaashiria woga usio wa kawaida ulitokea juu yao kupitia mawing. AT: "walishitushwa" # walivyokuwa wamezungukwa na wingu AT: "kama mawingu yalivyo wazunguka" # Sauti ikatoka winguni, ikisema AT: "Mungu akaongea nao kupitia mawinguni akisema" # mwanangu uliyechaguliwa Neno "kuchaguliwa" linatoa taarifa kuhusu mtoto wa Mungu. Haisemi kuwa Mungu alikuwa na mtoto zaidi ya mmoja. AT: "mwanangu niliuyekuchagua" (UDB) au "mwanangu,uliyechaguliwa" # walikaa kimya, na katika siku hizo... vitu walivyoona Hii ni taarifa inayosema kilichotokea baada ya hadithi kama matokeo ya hadithi yenyewe. # siku hizo Hizi zinaweza kuwakirisha siku ambazo mpaka Yesu anachukuliwa mawinguni baada ya ufufuo au yaweza kuwa baada ya siku ambazo Yesu alitoa kauli.