sw_tn/luk/09/32.md

819 B

sasa

Hii sentensi ya imetumika kuashiria pumziko kwenye hadithi wenyewe inayotolewa, Hapa Luka anasimuili taarifa kuhusu Musa na Yakobo, na Yohana.

waliuona utukufu wake

Hii inamaanisha mwanga uliowaka kuwazunguka. AT: "Aliona mwanga mkali unawaka kwa yesu" au "waliona mwanga mkali unatokea ndani ya Yesu"

wanaume waili walikuwa wamesimama nae

Inamaanisha Musa na Elisha.

Ikatokea kwamba

Hii sentensi imetumika hapa kuonesha matukio yananza. Kama lugha yako ina maana nzuri zaidi , unaweza fikiria kuitumia hapa.

Bwana

Neno lililotafasiriwa hapa kama "Bwana" sio neno la kwawaida kumaanisha " Bwana." Hili linamaanisha mtu mwenye mamlaka na sio mtu anaemmiliki mtu mwingine. AT: "Bosi"au "kiongozi" au neno huwa linatumika kueleza mtu mwenye mamlaka, mfano kama "Sir"

malazi

"hema" au "kibanda"