# sasa Hii sentensi ya imetumika kuashiria pumziko kwenye hadithi wenyewe inayotolewa, Hapa Luka anasimuili taarifa kuhusu Musa na Yakobo, na Yohana. # waliuona utukufu wake Hii inamaanisha mwanga uliowaka kuwazunguka. AT: "Aliona mwanga mkali unawaka kwa yesu" au "waliona mwanga mkali unatokea ndani ya Yesu" # wanaume waili walikuwa wamesimama nae Inamaanisha Musa na Elisha. # Ikatokea kwamba Hii sentensi imetumika hapa kuonesha matukio yananza. Kama lugha yako ina maana nzuri zaidi , unaweza fikiria kuitumia hapa. # Bwana Neno lililotafasiriwa hapa kama "Bwana" sio neno la kwawaida kumaanisha " Bwana." Hili linamaanisha mtu mwenye mamlaka na sio mtu anaemmiliki mtu mwingine. AT: "Bosi"au "kiongozi" au neno huwa linatumika kueleza mtu mwenye mamlaka, mfano kama "Sir" # malazi "hema" au "kibanda"