sw_tn/luk/09/30.md

430 B

Tazama, walikuwepo wanaume wawili wanaongea

Neno "tazama" hapa liaashiria tuwe makini kwa taarifa ya kushangaza inayofata. AT: "ghafla kulikuwa na wanaume wawili wanaongea" au "ghafla wanaume wawili walikuwa wanaongea."

walionekana katika utukufu

Hii sentensi ya kuoanaisha inatoa taarifa kuhusu Musa na Elisha. AT: "na walionekana wenye utukufu"

kuondoka kwake

"kuondoka kwake" au "atakavyooondoka." AT: "kifo chake."