# Tazama, walikuwepo wanaume wawili wanaongea Neno "tazama" hapa liaashiria tuwe makini kwa taarifa ya kushangaza inayofata. AT: "ghafla kulikuwa na wanaume wawili wanaongea" au "ghafla wanaume wawili walikuwa wanaongea." # walionekana katika utukufu Hii sentensi ya kuoanaisha inatoa taarifa kuhusu Musa na Elisha. AT: "na walionekana wenye utukufu" # kuondoka kwake "kuondoka kwake" au "atakavyooondoka." AT: "kifo chake."