sw_tn/luk/09/30.md

12 lines
430 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tazama, walikuwepo wanaume wawili wanaongea
Neno "tazama" hapa liaashiria tuwe makini kwa taarifa ya kushangaza inayofata. AT: "ghafla kulikuwa na wanaume wawili wanaongea" au "ghafla wanaume wawili walikuwa wanaongea."
# walionekana katika utukufu
Hii sentensi ya kuoanaisha inatoa taarifa kuhusu Musa na Elisha. AT: "na walionekana wenye utukufu"
# kuondoka kwake
"kuondoka kwake" au "atakavyooondoka." AT: "kifo chake."