sw_tn/luk/09/26.md

24 lines
557 B
Markdown

# na maneno yangu
AT: "na nilichosema" au "na nilichofundisha"
# yeye mwana wa Adam atamuonea aibu
"mwana wa Adam atamuonea aibu"
# mwana wa Adam
Yesu alikuwa anajiongelea yeye mwenyewe. AT: "mimi, mwana wa Adam"
# atakapo kuwa katika utukufu wake
Yesu anajiongelea yeye mwenyewe kupitia nafsi ya tatu. AT: "nitakapokuja kwenye utukufu wangu"
# baadhi yenu wasimamao hapa
"baadhi yenu mliosimama na mimi hapa"
# hawata ionja mauti mpaka wauone ufalme wa Mungu
AT: "watauona ufalme wa Mungu kabla hawajafa" au "utauona ufalme wa Mungu kabla huja"