sw_tn/luk/09/26.md

557 B

na maneno yangu

AT: "na nilichosema" au "na nilichofundisha"

yeye mwana wa Adam atamuonea aibu

"mwana wa Adam atamuonea aibu"

mwana wa Adam

Yesu alikuwa anajiongelea yeye mwenyewe. AT: "mimi, mwana wa Adam"

atakapo kuwa katika utukufu wake

Yesu anajiongelea yeye mwenyewe kupitia nafsi ya tatu. AT: "nitakapokuja kwenye utukufu wangu"

baadhi yenu wasimamao hapa

"baadhi yenu mliosimama na mimi hapa"

hawata ionja mauti mpaka wauone ufalme wa Mungu

AT: "watauona ufalme wa Mungu kabla hawajafa" au "utauona ufalme wa Mungu kabla huja"