# na maneno yangu AT: "na nilichosema" au "na nilichofundisha" # yeye mwana wa Adam atamuonea aibu "mwana wa Adam atamuonea aibu" # mwana wa Adam Yesu alikuwa anajiongelea yeye mwenyewe. AT: "mimi, mwana wa Adam" # atakapo kuwa katika utukufu wake Yesu anajiongelea yeye mwenyewe kupitia nafsi ya tatu. AT: "nitakapokuja kwenye utukufu wangu" # baadhi yenu wasimamao hapa "baadhi yenu mliosimama na mimi hapa" # hawata ionja mauti mpaka wauone ufalme wa Mungu AT: "watauona ufalme wa Mungu kabla hawajafa" au "utauona ufalme wa Mungu kabla huja"