sw_tn/luk/09/15.md

461 B

Wakafanya hivyo

wanfunzi wakawakalisha makutano kwenye makundi ya watu hamsini hamsini.

akachukua

"yesu akachukua"

mkate

kiwango maarumu cha mkate wa kuokwa. AT: "mkate mzima"

na akiangalia

"wakati anaangalia" au " baada ya kuangalia"

juu mbinguni

Hii inawakilisha kuangalia juu, kuelekea mawinguni. Wayahudi waliamini kuwa mbingu iko juu mawinguni.

watenge mbele ya

"kuwagawia" au " kuwapa"

wakashiba

AT: "walikula kama walivyotaka"