sw_tn/luk/09/15.md

28 lines
461 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wakafanya hivyo
wanfunzi wakawakalisha makutano kwenye makundi ya watu hamsini hamsini.
# akachukua
"yesu akachukua"
# mkate
kiwango maarumu cha mkate wa kuokwa. AT: "mkate mzima"
# na akiangalia
"wakati anaangalia" au " baada ya kuangalia"
# juu mbinguni
Hii inawakilisha kuangalia juu, kuelekea mawinguni. Wayahudi waliamini kuwa mbingu iko juu mawinguni.
# watenge mbele ya
"kuwagawia" au " kuwapa"
# wakashiba
AT: "walikula kama walivyotaka"