sw_tn/luk/09/07.md

20 lines
428 B
Markdown

# Taarifa kamili
Mistarin hii inapingan kutoa taarifa kuhusu Herode
# sasa
hili neno limetumika kuonesha pumziko katika story kamili. Hapa Luka anasimulia taarifa za msingi za Herode.
# Herode, mkuu wa mkoa
Inamwakilisha Herod ambae alikuwamtawala wa moja ya nne ya Israel.
# alitaabika sana
"alikasirika sana" au "alikuwa anashangaa"
# Nilimkata kichwa Yohana
AT: "niliwaamlisha wanajeshi wangu wamkate kichwa Yohana"