sw_tn/luk/09/07.md

428 B

Taarifa kamili

Mistarin hii inapingan kutoa taarifa kuhusu Herode

sasa

hili neno limetumika kuonesha pumziko katika story kamili. Hapa Luka anasimulia taarifa za msingi za Herode.

Herode, mkuu wa mkoa

Inamwakilisha Herod ambae alikuwamtawala wa moja ya nne ya Israel.

alitaabika sana

"alikasirika sana" au "alikuwa anashangaa"

Nilimkata kichwa Yohana

AT: "niliwaamlisha wanajeshi wangu wamkate kichwa Yohana"