# Taarifa kamili Mistarin hii inapingan kutoa taarifa kuhusu Herode # sasa hili neno limetumika kuonesha pumziko katika story kamili. Hapa Luka anasimulia taarifa za msingi za Herode. # Herode, mkuu wa mkoa Inamwakilisha Herod ambae alikuwamtawala wa moja ya nne ya Israel. # alitaabika sana "alikasirika sana" au "alikuwa anashangaa" # Nilimkata kichwa Yohana AT: "niliwaamlisha wanajeshi wangu wamkate kichwa Yohana"