sw_tn/luk/09/03.md

818 B

Akawaambia

"Yesu akawaambia wale thenashara"

Usichukue chochote

AT." usichukue chochote" au "usije na chochote"

Kwaajili ya safari yako

"kwa ajili ya safari yako" au "wakati unasafiri." Wasichukue chochote kwaajili ya safiri yao yote, watapita kijiji kwa kijiji mpaka warudi kwa yesu.

fimbo

"fimbo" au "fimbo ya kutembelea." ilikuwa ni fimbo kubwa iliyotumika kumsaidia mtu wakati wa kupanda au kwenye barabara mbovu. ilikuwa ikitumika pia kujilinda dhidi ya watekaji.

Mkoba

ni mfano wa kibebeo(begi) ambalo wasafiri hutumia kwa kubebea kile anachokitaka safarini.

Mkate

AT: "Chakula"

Nyumba yeyote mtakayoingia

"Nyumba yoyote mtakayoingia"

Kaeni humo

"Bakieni humo" au "muishi kwa mda ndani ya ile nyumba kama wageni"

Kutoka mahali hapo

"kutoka mjini" au "kutoka katika sehemu ile"