sw_tn/luk/09/03.md

36 lines
818 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Akawaambia
"Yesu akawaambia wale thenashara"
# Usichukue chochote
AT." usichukue chochote" au "usije na chochote"
# Kwaajili ya safari yako
"kwa ajili ya safari yako" au "wakati unasafiri." Wasichukue chochote kwaajili ya safiri yao yote, watapita kijiji kwa kijiji mpaka warudi kwa yesu.
# fimbo
"fimbo" au "fimbo ya kutembelea." ilikuwa ni fimbo kubwa iliyotumika kumsaidia mtu wakati wa kupanda au kwenye barabara mbovu. ilikuwa ikitumika pia kujilinda dhidi ya watekaji.
# Mkoba
ni mfano wa kibebeo(begi) ambalo wasafiri hutumia kwa kubebea kile anachokitaka safarini.
# Mkate
AT: "Chakula"
# Nyumba yeyote mtakayoingia
"Nyumba yoyote mtakayoingia"
# Kaeni humo
"Bakieni humo" au "muishi kwa mda ndani ya ile nyumba kama wageni"
# Kutoka mahali hapo
"kutoka mjini" au "kutoka katika sehemu ile"