# Akawaambia "Yesu akawaambia wale thenashara" # Usichukue chochote AT." usichukue chochote" au "usije na chochote" # Kwaajili ya safari yako "kwa ajili ya safari yako" au "wakati unasafiri." Wasichukue chochote kwaajili ya safiri yao yote, watapita kijiji kwa kijiji mpaka warudi kwa yesu. # fimbo "fimbo" au "fimbo ya kutembelea." ilikuwa ni fimbo kubwa iliyotumika kumsaidia mtu wakati wa kupanda au kwenye barabara mbovu. ilikuwa ikitumika pia kujilinda dhidi ya watekaji. # Mkoba ni mfano wa kibebeo(begi) ambalo wasafiri hutumia kwa kubebea kile anachokitaka safarini. # Mkate AT: "Chakula" # Nyumba yeyote mtakayoingia "Nyumba yoyote mtakayoingia" # Kaeni humo "Bakieni humo" au "muishi kwa mda ndani ya ile nyumba kama wageni" # Kutoka mahali hapo "kutoka mjini" au "kutoka katika sehemu ile"