sw_tn/luk/08/36.md

16 lines
435 B
Markdown

# mmoja wao aliyeona kilichotokea
Hawa walikuwa watu waliokuwa na mtu yule wakati Yesu alifanya mapepo yaondoke.
# mtu aliyekuwa anaongozwa na mapepo alivyoponywa
Yesu amemwokoa mtu aliyekuwa na mapepo yakimwongoza" au "Yesu alimponya mtu alikuwa na mapepo yakimwongoza"
# mkoa wa Gelasini
"Eneo hilo la Gerasini" au "eneo ambapo watu wa wagerasini waliishi"
# walikuwa na hofu kuu
"wakajawa na hofu." au "hofu kubwa iliwajaa."