# mmoja wao aliyeona kilichotokea Hawa walikuwa watu waliokuwa na mtu yule wakati Yesu alifanya mapepo yaondoke. # mtu aliyekuwa anaongozwa na mapepo alivyoponywa Yesu amemwokoa mtu aliyekuwa na mapepo yakimwongoza" au "Yesu alimponya mtu alikuwa na mapepo yakimwongoza" # mkoa wa Gelasini "Eneo hilo la Gerasini" au "eneo ambapo watu wa wagerasini waliishi" # walikuwa na hofu kuu "wakajawa na hofu." au "hofu kubwa iliwajaa."