sw_tn/luk/08/36.md

435 B

mmoja wao aliyeona kilichotokea

Hawa walikuwa watu waliokuwa na mtu yule wakati Yesu alifanya mapepo yaondoke.

mtu aliyekuwa anaongozwa na mapepo alivyoponywa

Yesu amemwokoa mtu aliyekuwa na mapepo yakimwongoza" au "Yesu alimponya mtu alikuwa na mapepo yakimwongoza"

mkoa wa Gelasini

"Eneo hilo la Gerasini" au "eneo ambapo watu wa wagerasini waliishi"

walikuwa na hofu kuu

"wakajawa na hofu." au "hofu kubwa iliwajaa."