sw_tn/luk/08/28.md

32 lines
719 B
Markdown

# Alipomwona Yesu
"yule mwenye pepo alipomwona Yesu"
# akalia kwa sauti
"alipiga kelele" au "alipiga yowe"
# akaanguka chini mbele yake
"alilala chini ya ardhi mbele ya Yesu." Hakuanguka kwa ajali kama ajali.
# kwa sauti kubwa akisema
"Alisema kwa sauti ya juu" au "Alipiga kelele"
# Nimefanya nini kwako
"Kwa nini unanitesa mimi"
# mwana wa Mungu aliye juu
Hiki ni cheo kikubwa sana kwa ajili ya Yesu.
# mara nyingi amepagawa
"mara nyingi walikuwa wanamshika mtu huyu" au "mara nyingi huenda ndani mwake." Hii inatuambia jinsi Pepo alivyofanya mara ya nyingi kabla ya Yesu kukutana naye.
# hata kama alikuwa amefungwa.... na kuwekwa chini ya ulinzi
"Hata kama watu walimfunga... na kumbana na kumlinda"