# Alipomwona Yesu "yule mwenye pepo alipomwona Yesu" # akalia kwa sauti "alipiga kelele" au "alipiga yowe" # akaanguka chini mbele yake "alilala chini ya ardhi mbele ya Yesu." Hakuanguka kwa ajali kama ajali. # kwa sauti kubwa akisema "Alisema kwa sauti ya juu" au "Alipiga kelele" # Nimefanya nini kwako "Kwa nini unanitesa mimi" # mwana wa Mungu aliye juu Hiki ni cheo kikubwa sana kwa ajili ya Yesu. # mara nyingi amepagawa "mara nyingi walikuwa wanamshika mtu huyu" au "mara nyingi huenda ndani mwake." Hii inatuambia jinsi Pepo alivyofanya mara ya nyingi kabla ya Yesu kukutana naye. # hata kama alikuwa amefungwa.... na kuwekwa chini ya ulinzi "Hata kama watu walimfunga... na kumbana na kumlinda"