sw_tn/luk/08/28.md

719 B

Alipomwona Yesu

"yule mwenye pepo alipomwona Yesu"

akalia kwa sauti

"alipiga kelele" au "alipiga yowe"

akaanguka chini mbele yake

"alilala chini ya ardhi mbele ya Yesu." Hakuanguka kwa ajali kama ajali.

kwa sauti kubwa akisema

"Alisema kwa sauti ya juu" au "Alipiga kelele"

Nimefanya nini kwako

"Kwa nini unanitesa mimi"

mwana wa Mungu aliye juu

Hiki ni cheo kikubwa sana kwa ajili ya Yesu.

mara nyingi amepagawa

"mara nyingi walikuwa wanamshika mtu huyu" au "mara nyingi huenda ndani mwake." Hii inatuambia jinsi Pepo alivyofanya mara ya nyingi kabla ya Yesu kukutana naye.

hata kama alikuwa amefungwa.... na kuwekwa chini ya ulinzi

"Hata kama watu walimfunga... na kumbana na kumlinda"