sw_tn/luk/08/22.md

493 B

ujumbe wa kuunganisha

Yesu na wanafunzi wake kisha wakatumia mashua kuvuka ziwa Genasareti. wanafunzi wakajifunza megi kuhusu nguvu ya Yesu kupitia dhoruba iliyotokea.

Sasa ilitokea

Neno hili limetumika hapa kuonyesha alama wa mwanzo wa kipande kipya cha kile kilichotekea.

ziwa

Hili ni ziwa Genesareti ambalo liliitwa ziwa la Galilaya.

walipoanza kuondoka

"walipotoka"

akalala usingizi

"Alilala"

dhoruba kali yenye upepo ikaja

"upepo wenye nguvu ghafla ukaanza kupiga"