sw_tn/luk/08/22.md

24 lines
493 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ujumbe wa kuunganisha
Yesu na wanafunzi wake kisha wakatumia mashua kuvuka ziwa Genasareti. wanafunzi wakajifunza megi kuhusu nguvu ya Yesu kupitia dhoruba iliyotokea.
# Sasa ilitokea
Neno hili limetumika hapa kuonyesha alama wa mwanzo wa kipande kipya cha kile kilichotekea.
# ziwa
Hili ni ziwa Genesareti ambalo liliitwa ziwa la Galilaya.
# walipoanza kuondoka
"walipotoka"
# akalala usingizi
"Alilala"
# dhoruba kali yenye upepo ikaja
"upepo wenye nguvu ghafla ukaanza kupiga"